Hit maker wa "Mr Politician" Nakaaya Sumari, baada ya kukaa kimya kwa mda mrefu, amezungumza na Amplifaya ya Clouds Fm na kuthibitisha kuwa ana ujauzito ambao ni miezi kadhaa tu atajifungua.Alipoulizwa kuhusu baba wa mtoto huyo, Nakaya alicheka kwanza na kusema kuwa ni wa mtakatifu, na kugoma kabisa kumtaja baba wa mtoto huyo mtarajiwa, huku akisema kuwa sio wa mtu yeyote anaejulikana.
blog hii inakutakia kila la kheri na ujifungue salama
No comments:
Post a Comment