Ratiba ya mazishi ya msanii Langa Kileo itakua kama ifuatavyo, msiba upo nyumbani kwa wazazi wake maeneo ya Mikocheni nyuma ya hospitali ya AAR ambapo zamani kulikua na ofisi za benchmark production. Na sikun ya jumatatu majira ya saa saba mchana mwili wa marehemu utaagwa na saa kumi arasili mwili utapelekwa makaburi ya Kinondoni kwa mazishi.
No comments:
Post a Comment