Saturday, May 25, 2013

Dius: LUDACRIS AACHIA MIXTAPE YA LUDACRIS KUACHIWA PAMOJA NA MOVIE YA 'FAST AND FURIOUS 6' ALIYOSHIRIKI

Rapper LudaCris amedondosha moxtape yake mpya leo kupitia Datpiff.com ikiwa ni siku moja na release ya movie aliyoshiriki 'fast and furious 6'.

Mixtape hiyo ina nyimbo10 na tayari ishadondoka, pichani ni cover yenye track list ya nyimbo hizo

No comments:

Post a Comment