M2TheP akimuaga mshikaji wake wa karibu, marehem Albert Mangwea, katika viwanja vya Jamhuri mkoani Morogoro
Maelfu ya wakazi wa Morogoro wakiwa katika foleni kumuaga marehem Albert Mangwea Dada alie anguka na kuzimia akichukuliwa na watu wa msalaba mwekundu
watu wakusanyika kumlaza Ngwea ndani ya nyumba yake ya milele
Hatimae leo hii, msanii Albert Mangwea, amefikishwa katika nyumba yake ya milele, katika makaburi ya Kihonda mkoani Morogoro, pembeni ya kaburi alilozikwa marehem baba yaje mzazi.
No comments:
Post a Comment