Wednesday, May 29, 2013

Dius:Staki kusikia nyimbo zote za marehemu ALBERT MANGWEAR alizorekodi BONGO REC zikipigwa CLOUDS FM kuanzia sasa.

Muda mfupi uliopita Dj Choka alipokea simu kutoka kwa Producer mkongwe hapa bongo anajulikana kwa jina la P Funk Majani na kuniomba nipokee msg hii hapa chini na kuwaomba watanzania walijue hili na baadae atatoa barua rasmi.

No comments:

Post a Comment