

VS
Leo ni usiku wa historia barani Ulaya ambapo Borussia Dortmund watakua wakikipiga na Bayern
München katika uwanja wa Wembley mjini London Uingereza.
Hii ni historia kwa kua club hizi mbili zote ni za nchini Ujerumani lakini usiku wa leo zinapigana kutafuta kikombe cha mabingwa barani Ulaya zikiwa kwenye aridhi ya kigeni.
Mshambuliaji hatari wa Bayern Aljen Ruben katika mazoezi
Wachezaji wa Dortimund wakiwa mazoezini kwenye uwanja wa Wembley
Timu hizi mbili zimekutana baada ya safari ndefu na ngumu kama inavoonekana hapa chini.
No comments:
Post a Comment