Msanii wa Muziki wa Hiphop nchini Tanzania maarufu kama Langa amefariki dunia hii leo katika hos. kuu ya Muhimbili jijini Dar es salaam. Kwa mujibu wa ndugu zake wa karibu, Langa amepata mauti kutokana na ugonjwa wa malaria. Habari kamili tutawajulisha kadri zitakavokua zikitufikia.
No comments:
Post a Comment