Monday, June 10, 2013

Dius:WAFAHAMU WASANII WALIOSHINDA TUZO ZA KILL MUSIC AWARDS 2013 ILIYOFANYIKA JUNE 8 PALE MLIMANI CITY

   Mrisho Mpoto akikabidhiwa tuzo ya wimbo bora wenye vionjo vya asili "Chocheeni kuni:"

    Ben Pol akiwa kwenye stage na tuzo yake ya Mtunzi Bora wa Mashairi Bongo Fleva.
       Man Walter akiwa na tuzo yake ya mtayarishaji bora wa mwaka -muziki wa kizazi kipya
                        Ommy Dimpoz akiwa na tuzo ya wimbo bora wa bongo pop wa me and you.
  Linah akitoa burudani ya kutosha kabisa
    Ben Pol na Linah
   Peter Msechu
   Jambo Squad wakikabidhiwa tuzo ya kikundi bora cha muziki wa kizazi kipya

           Saida
                                Chalz Baba amechukua tuzo ya msanii bora wa kiume -bendi
                          Chalz baba akikabidhiwa tuzo ya mtunzi bora wa mashairi-bend

Amini akitoa shukrani kwa mashabiki wake baada ya kuchukua tuzo ya wimbo bora wa zouk/Rhumba
       Burudani kutoka kwa Madee

 Kala Jeremiah akitoa shukrani kwa mashabiki wake waliompigia kura baada ya kutia fola kwa kuchukua tuzo tatu, Msanii bora wa Hip Hop,Mtunzi bora wa mashairi ya Hip Hop pamoja na wimbo bora wa Hip Hop kwa kipindi chake cha mwaka 2012/13
  Mzazi Willy M Mtuva kwa niaba ya Chamelione anapokea tuzo ya wimbo bora wa afrika mashariki 'Valu Valu;
       Ommy Dimpoz kwa mara nyingine tena! Tuzo ya Video Bora ya Mwaka..Baadae!
          Ommy Dimpoz kwa mara nyingine tena! Tuzo ya Video Bora ya Mwaka..Baadae!

  Gardner G Habash akipokea tuzo ya Msanii Bora wa Kike kwa niaba ya Lady Jaydee.

No comments:

Post a Comment