Wednesday, April 1, 2015

Sleepy Puppy falls asleep on baby






Mbwa huyu alipewa kazi ya kumlinda mtoto, kilichofuatia ni story mtu wangu…(Video)





ppp Mara
nyingi mbwa hutumika katika nyumba kama walinzi na kwa nchi za wenzatu
wamekuwa zaidi ya walinzi kwani wamekuwa wakipewa nafasi kubwa na kuwa
sehemu ya familia kama rafiki wa karibu sana.
Hapa nimekuwekea video ya mbwa huyu
ambaye alikuwa akimlinda mtoto lakini akajikuta na yeye akizidiwa na
usingizi na kuamua kulala juu ya mtoto huyo ili kuendelea kumlinda.

Cheki video yake nimekuwekea hapa.

Saturday, June 15, 2013

Dius: AY NDANI YA LONDON READY KWA AJILI YA TRAFFIC LIGHT PARTY

apper AY yuko nchini Uingereza kwa ajili ya show inayofanyika kila mwaka Tanzania na Uingereza "Traffic Light Party" ambayo inatarajiwa kufanyikasiku ya kesho tarehe 15 June, ndani ya Club Laface, London

Friday, June 14, 2013

Dius: RATIBA YA MAZISHI YA LANGA KILEO

Ratiba ya mazishi ya msanii Langa Kileo itakua kama ifuatavyo, msiba upo nyumbani kwa wazazi wake maeneo ya Mikocheni nyuma ya hospitali ya AAR ambapo zamani kulikua na ofisi za benchmark production. Na sikun ya jumatatu majira ya saa saba mchana mwili wa marehemu utaagwa na saa kumi arasili mwili utapelekwa makaburi ya Kinondoni kwa mazishi.

Thursday, June 13, 2013

HATIMAYE MAMA MZAZI WA ALBERT MANGWEHA AKABIDHIWA TUZO YA MSANII BORA WA HIPHOP NA KALA JEREMIAH KWA NIABA YA NGWEA

Dius:Vanessa Mdee - Closer

Quick Rocka ft Ngwair & Shaa - My baby ( Official Video Teaser )

Ni ngoma mpya ya Quick ambayo amefanya na marehemu Ngwair na mwanadada Shaa. Ngoma hii mpya inafaamika kwa jina la my baby ambamo umu ndani Quick amebadilika sana na hii ni teaser ya wimbo huo.

DAH! MSANII WA HIPHOP LANGA AFARIKI DUNIA

Msanii wa Muziki wa Hiphop nchini Tanzania maarufu kama Langa amefariki dunia hii leo katika hos. kuu ya Muhimbili jijini Dar es salaam. Kwa mujibu wa ndugu zake wa karibu, Langa amepata mauti kutokana na ugonjwa wa malaria. Habari kamili tutawajulisha kadri zitakavokua zikitufikia.

Tuesday, June 11, 2013

Dius: NOORAH AFUNGA NDOA HARUSI YAFANYIKA SHINYANGA

Msanii Noorah ameungana na wasanii wengine kuuaga ukapela na kuingia katika maisha ya ndoa.harusi ya Noorah yafanyika nyumbani kwa mkoani Shinyanga.wasanii wengine waliooa karibuni ni pamoja na Shettah, Black rhymo, H baba na wengineo..Kila la kheri brother

Dius:THE FINEST RELOADED SASA NI JUNE 14TH


Ile classic show iliyohairishwa kufanyika kupisha mazishi ya mpendwa wetu Albert Mangweha a.k.a Ngwea, sasa inatarajiwa kufanyika siku ya tarehe 14 ndani ya jumba la makumbusho ya taifa, mijini, opposite na chuo cha IFM. Show hiyo inayoongozwa na Hamisi Mwinjuma a.k.a Mwana FA itakuwa na wasanii wengine kama Mandojo na Domokaya, Njenje Band na wengineo ikiwa ni surprise kwako....